Cecile Bendera & Everline Bwayo
“Nilianza [kuariri] video kipindi kaka yangu alianza kufanya mziki. Alianza kuimba miziki nami nilimrikodi. Basi, baada ya hapo nikapenda kurikodi video zake zote. Lakini, tunafanya mambo mengi zaidi. Mara kwa mara mimi mwenyewe huna najirikodi nikiwa naonyesha ujuzi wangu na pia krosi zangu za mpira wa miguu. Sana sana napenda video za mziki za msanii [wa Tanzania] anayeitwa Aslay. Kuimba kwake, video zake huwa nzuri sana na pia, mazingira ya video zake hunifurahisha.”
[“I started video editing when my brother started doing music. He started singing songs and I recorded him. Then, after that, I started to love to record all his videos, but I do more than that. I record myself doing skill moves for soccer. I love the [Tanzanian] artist by the name of Aslay. I love the way he sings. His music videos are really good and...his video settings are also good.”]